GE2010 Sumaye agoma kumchafua Dk Slaa

Sumaye naona amekuali kwa Shingo upande moyoni mwake anajua dhamira yake inataka nini?
 
Huyu jamaaa ni Fisadi nyuma ya pazia, ametumia sn waliokuwa chini yake kufanya ufisadi na yy kujificha akijua akitoka atandamwa kama ataweka sahihi ktk moja ya vi meseji kama alivyofanya EL ndiyo waixhomshikia wakina Mwaki tkt kamati yao, la asingeshikwa, huwezi amini amejitwalia maheka kwa maheka yenye rutuba kama Bagamoyo , Arusha, maorogoro na Dar lkn kote waliotia sahihi ni waliokuwa chini yake yeye amebaki msafi, lakini LOOOOOO!
 
sumaye kakubali kumaliza beef na JK, awezi fanya siasa za maji taka bwana, Huyu ni genious toka Harvard na hata point zake zinavutia. Msipigie mafisadi na wezi wa mali za umma Kura , alisema Sumaye
 
Safi sana. Lakini hatampigia JK anania ya kumwokoa Nagu mikononi mwa wife wa zamani wa Dr Slaa
 
Mwache Sumaye amdanganye Jekey, Hana la kusema Hanang kuhusu Dr Slaa watu wanaelewa siku nyingi ubora wa Dr Slaa. Wazee wasijekumwagia radhi huko.
 
Are you kidding me? What is this, some kind of joke lol?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…