Sumaye afichua siri nzito za CHADEMA kukabiliana na Magufuli

Kwa hiyo mkiambiwa ccm imewafanya watanzania kuwa masikini zaidi ya miaka 50 mbona mnakataa.
Imefikia kama ulivyosema kuwa watu wa kijijini sukari kwao ni anasa.
Aibu imewafika unaficha kichwa mkia unaoneananaone
 

Sisi watanzania tunaompenda Rais wetu na tunaoipenda nchi yetu hakika itafikia mahala tulazimike kuungana na Rais wetu kukabiliana na wewe Mzee Sumaye na team yako yote. Haiwezekani kila wakati mnawazia kumkwamisha Rais wetu na dhamira yake njema kwa nchi yetu. Mhe. Sumaye umekuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10 katika Serikali ya Awamu ya Tatu na mkamaliza awamu yenu mkapumzika.

Chonde chonde Mzee Sumaye, Lowassa na wengine wote, muacheni Rais wetu atekeleze aliotuahidi sisi Watanzania wanyonge. Tunahitaji elimu bora, maji, umeme, huduma za afya, barabara nzuri, na ulizi wa mali zetu na sisi wenyewe.

Inatosha!
 
Ungekuwa karibu yangu alafu unaongea hivyo nakupiga vichwa 3,mateke ya tumbo 3,finga za mdomo 6 alafu nakung'angania hadi 2020 ndo nakuachia ukapambane na hali yako

Sent from my HTC Desire 516 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…