SUMATRA updates

SUMATRA updates

codename

Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
22
Reaction score
19
Habari wakuu, kuna post SUMATRA walitangaza mwezi wa nne mwishoni, kulikua na position ya Shipping Officers, ivi washaita watu for interviews???
 
Hakuna sehemu ambayo hutumia muda mwingi kuita watu kama Sumatra ... Wakati mwingine hata miezi 6 Ndiyo unaitwa interview ....
...
 
hawa jamaa kuna kujuana kwingi sana, kama hauna refa pale ni shughuli kuingia, unaweza ukakuta ata watu washaanza kaz tayari.......
mi napita
 
Sumatra.JPG
 
Back
Top Bottom