Sumatra, sumatra, be serious, wananch waumiapo basi.

Sumatra, sumatra, be serious, wananch waumiapo basi.

waBasila

Senior Member
Joined
Jun 27, 2013
Posts
168
Reaction score
37
Sumatra. Sumatra. Sumatra.
Fika ubungo mida ya sambili na nusu tatu hadi asubuhi ilipo stand ya gari za tegeta na mwenge.

Abiria kuanzia muda huo hutozwa mara mbili ya nahuli yao toka ubungo to tegeta kila cku(1000).kwakuwa hawana jinsi hulipa. Ikipita uda au yoyote kupakia kw bei ya kawaida wapiga debe huifanyia fujo wakati mwingine hata kurusha mawe.hili ni zoezi la kila cku.

Pls!hii ni nchi yetu, haitofika tutakapo tusipo manisha. Token maofisin fanyeni kazi.tusomeni majira.tusilazmishe hata madogo haya serikali kulaumiwa, wakati ni uzembe wa mtu mmoja. Na hili ni tatizo lijitokezalo maeneo mengi.lets b serious!
Kubadirika ni kuamua.things r not alwys 4 granted.
 
Back
Top Bottom