Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Kamata kamata hii itakoma baada ya wiki mbili, utaratibu wa kawaida utaendelea hadi litokee janga lingine. We still need 3 million more years of Evolution to take place before we join the rest of the civilized world.
ubize wa nn tena na mitandao hii wanajitafutia ubize usio na sababu. wkalime tu aseeMkuu hiyo ofc huwa ipo busy kupita maelezo, sababu unakuta ni moja mkoa mzima.
SUMATRA wanasubiri DCM lianguke tena, ili wabunge waanze tena kugombea kuongea msibani?olympio na diamond zina watoto wengi mno halafu mabasi ya shule machache wanajazwa kwenye mabasi mpaka wengine wanakaa kwenye ile platform ya kioo cha nyuma kule kibasila utaona idadi ya watoto wanaosubiri mabasi ni kubwa sana kuliko mabasi yanayowasubiri
Hapana jamii bado hajaelimika vya kutosha, bado manually itaendelea kutumika sana.ubize wa nn tena na mitandao hii wanajitafutia ubize usio na sababu. wkalime tu asee
siku hizi uwe bosi kazini au umejiajiari, wewe ndiyo kila kitu, kuchapa barua, kufaili, kusafisha ofisi (iwe gari, container,frame n.k.) potelea mbali, kila kitu wewe, udereva, baba, mume/mke, kupika, kuosha vyombo, chochote kile, jembe jembe, tena swala la mahausigeli/boy litapitwa na wakati, [HASHTAG]#hapakazituu[/HASHTAG] dunia imebadilika mno, lazima nasi twende na wakati..In fact, hao wanne ni wengi sana. Alipaswa kuwa mmoja zama hizi dereva na PS wa nn?
Ataajiri vipi wkt anabana matumizi..Ila mheshimiwa kashatuhaidi ajira,ngoja tusubirie
at Matu mavivu hii hawaiwezi..wavivu kupindukia...unakuta hata mwanamke anahongwa apartment...badala ya kujiongeza anaomba na housemaid. Unakuta personal Secretary government servant anachezesha upatu ofisini..yaan hiyo ndio kazi yake akiingia hadi kutoka....mabosi wanawaacha tu.siku hizi uwe bosi kjiari, wewe ndiyo kila kitu, kuchapa barua, kufaili, kusafisha ofisi (iwe gari, container,frame n.k.) potelea mbali, kila kitu wewe, udereva, baba, mume/mke, kupika, kuosha vyombo, chochote kile, jembe jembe, tena swala la mahausigeli/boy litapitwa na wakati, [HASHTAG]#hapakazituu[/HASHTAG] dunia imebadilika mno, lazima nasi twende na wakati..
Labda uelewa wangu mdogo......Sasa wanafika shule saa ngapi!!olympio na diamond zina watoto wengi mno halafu mabasi ya shule machache wanajazwa kwenye mabasi mpaka wengine wanakaa kwenye ile platform ya kioo cha nyuma kule kibasila utaona idadi ya watoto wanaosubiri mabasi ni kubwa sana kuliko mabasi yanayowasubiri
Labda uelewa wangu mdogo......Sasa wanafika shule saa ngapi!!
Wewe nafikiri utakuwa wakala wa hiyo shule uliyoisifia,nao wababaishaji tu wa Tabata kule.Mamlaka tajwa kwa nini hamkamati school bus mbovu zinazojaza wanafunzi kama nyanya kwenye matengo, kwa kuwasaidia nitaje shule za Dar zenye tabia hiyo;
1. Olympio
2. Bunge
3. Diamond
4. St. Mary's
5.
PIA tuwapongeze TUSIIME kwa weledi wao katika kuendesha shule..Wakora Waitu!