and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,304
- 39,847
Ofisi mkoa mzima unakuta inawatumishi wanne, Boss, Dereva, Mhasibu na PS.La ajabu hao SUMATRA nao wanadai nyongeza ya mshahara.
In fact, hao wanne ni wengi sana. Alipaswa kuwa mmoja zama hizi dereva na PS wa nn?Ofisi mkoa mzima unakuta inawatumishi wanne, Boss, Dereva, Mhasibu na PS.
Mkuu hiyo ofc huwa ipo busy kupita maelezo, sababu unakuta ni moja mkoa mzima.In fact, hao wanne ni wengi sana. Alipaswa kuwa mmoja zama hizi dereva na PS wa nn?
Mh,La ajabu hao SUMATRA nao wanadai nyongeza ya mshahara.
Ila mheshimiwa kashatuhaidi ajira,ngoja tusubirieOfisi mkoa mzima unakuta inawatumishi wanne, Boss, Dereva, Mhasibu na PS.
2019Ila mheshimiwa kashatuhaidi ajira,ngoja tusubirie
Mamlaka tajwa kwa nini hamkamati school bus mbovu zinazojaza wanafunzi kama nyanya kwenye matengo, kwa kuwasaidia nitaje shule za Dar zenye tabia hiyo;
1. Olympio
2. Bunge
3. Diamond
4. St. Mary's
5.
PIA tuwapongeze TUSIIME kwa weledi wao katika kuendesha shule..Wakora Waitu!
Nchi yetu si wanasubiri watu wafe ndo hatua ichukuliwe!!! Wanafki sisi!!! Mungu anatuona jamani!Watu hawa bwana unaweza kufikiri labda walikuwa wamesafiri hawakuwepo nchini likitokea janga ndiyo utawaona sasa