Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,699
Malaika wa zamu alishawahi nafasi yake hukoAkikutana na magufuli sijui itakuaje nahisi Leo Huko kuzimu patachimbika sanaa
Unapotoa taarifa ya msiba ni vema ukamuelezea kwa kifupi marehemu ili watu wamjueHaya maisha bana siasa mpaka kwa wafu
Picha yake tafadhali.
Hatupingi watu kuhama na wala hatudhani pia kwamba tukielezea kwamba wamehama tutakuwa tunatenda makosaRest easy Suleiman Methew...
Hii tabia yenu ya kufikiri kila anayehama Chadema ni msaliti muache...
Watu huhama vyama kwa sababu ya kutokubaliana na mambo fulani fulani humo chamani...
Tumeona wana CCM wakihamia Chadema na haikuwa nongwa...
Au chama chenu hakikoseagi?
CCMAmekufa akiwa Chadema au ccm?
Hapa hujaelezea kuhama kwake...ikiwemo Usaliti wake kwa Chadema
Erythrocyte ni Mjinga fulani HiviRest easy Suleiman Methew...
Hii tabia yenu ya kufikiri kila anayehama Chadema ni msaliti muache...
Watu huhama vyama kwa sababu ya kutokubaliana na mambo fulani fulani humo chamani...
Tumeona wana CCM wakihamia Chadema na haikuwa nongwa...
Au chama chenu hakikoseagi?
Usaliti ni nini?Hapa hujaelezea kuhama kwake...
Bali umeigeuza haki yake kikatiba kuonekana usaliti...