Mchezo unachezwa Ubungo Plaza kutakuwa na jumla ya bouts 10, mabondia ni wa nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania, Malawi, Zambia na Congo DR
Main card ni Kidunda Vs Katompa. Kidunda hadi sasa ana rekodi ya kushinda kwa KO mapambano yake yote 7. Erick Tshmanga Katompa
Mapambano ya Utangulizi
Bouts
1. King Makassy Vs Ibrahim Mpili
Pambano la round 4
Winner: King Makassy kwa Points
2. Najma Isike Vs Leila Yazidu
Pambano la Rounds 4
Winner : Najma Isike
3. Pascal Goba Vs Joseph Mchapeni
Pambano la rounds 6
Winner : Joseph Mchapeni
7. Juma Choki(Tz) Vs Salim Chazama(Malawi)
Mshindi ni Juma Choki kwa KO
8. Grace Mwakemele(Tz) Vs Ruth Chisale(Malawi)
Mpambano wa Rounds 8(Ubingwa) Superlight Weight
Winner : Ruth Chasale
9. Kelvin Majiba Vs Ibrahim Class
Pambano la Rounds 4
Winner : Ibrahim Class, KO