Sukari ya magendo

Ngiama makanda

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
1,098
1,810
Pale Yanga kwa sasa tuna huyu mtu Guede a.k.a sukari ya magendo sikujui anasubiri nini kufunga magoli, hapa naiona thank you guede mapema kabisa.

 
Huyu jamaa ile siku alivurunda kwelikweli
Hivi nyie mnaangaliaje mpira mpaka mseme alivurunda? Kwamba kutokufunga goli ndio kuvurunda? Mbona alicheza zote 90? Hamkuona hold up play aliyokuwa anafanya? Mpvements zake km kushuka chini kutafuta mipira na kupanda?

Nyie mnaangalia mpira kusubiri magoli tu? Jamaa yuko vyema sana ni suala la muda tu
 
Asipoonyesha na leo, tukufanyaje
Welcome Yanga where you get uncountable number of enjoyments. Yan usikae ukasubiri mechi ya leo au ijayo mchezaji atafanya kitu fulani ndio maana mnawapa pressure wachezaji wanashindwa kufikia malengo. Leo kama atapata nafasi naamini utakua ni muendelezo wa kujenga confidence na imani kwa bench na mashabiki.
 
Kila mtu na maono yake na uchambuzi wake ndgu, hasa kwa mchezaji mpya ambae kila mtu pia alikua na mategemeo yake juu yake, kuna vitu alitaka toka kwake, akivikosa lazima ajudge na akivipata lazima apongeze kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…