SuitGate: Caption this...

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,417
Points
1,225

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,417 1,225
The Spin-off thread!!

Ziwekee maneno picha zifuatazo:

(Dokezo - Pichani ni Balozi mstaaf wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Retzer)"Retzer:...jamaa machale yamempanda nini?? mimi nimekuja na ki-surveillance kamera changu kumpiga picha na suit za Savile Row naona kanivalia Mao Suit, ngoja nijichekeshe tu hapa..."
"Mh. Sana:... mwone huyu, anafikiri wabongo hatuwajui njama zao, nimvalie suti zangu za ng'ambo akanifanye kituko huko makwao anakorudi..."

......
......

 

Attachments:

Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,909
Points
2,000

Chamoto

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2007
4,909 2,000
"Retzer:...jamaa machale yamempanda nini?? mimi nimekuja na ki-surveillance kamera changu kumpiga picha na suit za Savile Row naona kanivalia Mao Suit, ngoja nijichekeshe tu hapa..."
"Mh. Sana:... mwone huyu, anafikiri wabongo hatuwajui njama zao, nimvalie suti zangu za ng'ambo akanifanye kituko huko makwao anak


Du kweli steve umemchoka ....​


 

Forum statistics

Threads 1,379,328
Members 525,385
Posts 33,743,247
Top