R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Kwa hali isiyo ya kawaida usaliti umezidi kuitafuna tasinia ya mziki; huku vinara wa mziki enzi hizo ; Joseph Mbilinyi na JOSEPH HAULE wamegoma kuungana na wanamziki wenzao waliopeleka kilio chao kwa mheshimiwa Magufuli kudai hati miliki na malipo ya wanamziki yenye tija.
Baadhi ya wana mziki wamelaumu kitendo cha wanamziki nguli cha Sugu , Prof Jay kujitenga na wao, ingawa hakutaka jina lake litajwe.
Wengine wamelalamika kuwa ata kwenye kampeni waliwatumia na hii si swala la kisiasa iweje wagome ; ukizingatia anti virus album ; ilikuwa ni chachu wa mapinduzi zidi ya ukandamizaji wa wanamziki?
Lakini dakika za mwisho sugu aliwasaliti wanamziki na kurudi kwa Ruge.
Wamedai ata bila wao watendelea kudai haki yao kuwa ni mwanzo mzuri kuonana na raisi mojakwa moja bila urasimu.