Sugu na Koffi Anan

huyu atakuwa kibonde wa clouds fm
 
Vidato siyo kipimo cha lugha. Usinishangae nikikuambia kuna university gradutes wa vyuo vya hapa hapa bongo kwao Kiingereza ni tatizo. Lakini hapa hapa kuna watoto wa darasa la pili wanaongea Kiingereza kizuri tu.

Sidhani kama Sugu ana tatizo la Kiingereza. Labda kama mtatuambia kwamba safari zake za nje huwa anakwenda na mtafasiri. Maana sasa mmmmmh!
 
Imani yangu ni kwamba hiki siyo kijiwe cha wahuni lakini kuna watu bado wanajadili watu badala ya kujielekeza kwenye kujadili hoja.
Ulisemalo ni kweli, what ever the case,Sugu ni mbunge wa mbeya mjini na anaaminiwa na wapiga kura wake, MENGINE YOTE NI WIVU TU
 
Foolish thread.......................
 
Kutekeleza ahadi kwa wananchi heri kuliko kumpokea/kushiriki ziara ya Annan
Hata hivo kwani alialikwa?acheni kumwandama mbunge wetu
 
USA alikuwa anaongea kinyakyusa? English ni lugha ya kawaida sana.
Wewe ndo unaona kuongea english ni elimu ya juu, nenda narsar school ukashangae watoto wanavyo flow
 

makubwa...huu ni udaku tu na hamna ukweli wowote hapa na wala hamumjui mhe mbilinyi..ya yawezekana wewe hata kidato cha 4 hukufikia ndio maana unamwonea wivu mwenzako kwa vile amepiga hatua.
 
Anan amekuja kuassess wazungumzaji wa kingereza?
 

Hata hao wa vyuo vikuu wengi lugha ya kiingereza inawapa shida. ila huenda alikosekana hapo kutokana na ukweli kuwa sasa hivi kuna vikao vya kamati mbalimbali za bunge huenda aliona ni bora awe huko. Yote ni yote tulichukulie kutokuwepo kwake kwa mtazamo chanya.
 
Inawezekana alikua kwa babu Samunge au mjukuu wa babu Mby............ Ila km Mbunge he was supposed to be there, japo huwezi juu.... CCM ni CCM tu........
 
Annan amekuja juu ya maswala ya mbegu na kilimo so sidhani alikuwa mgeni wa Mbeya mjini maana hakuna mashamba hapo.
Annan hakuwa mgeni wa Sugu
pia kumbuka waziri wa kilimo Prof. Magembe naye hakuwepo, nilimuona sijui Dakawa akimwangalia mkulu akipanda power tiller! Na Mh. Mbilinyi labda atakuwa alituma mwakilishi maana alikuwa na majukumu muhimu Iringa inavyoelekea
 

JF sasa inapoteza mvuto, maana wamejaa mapumbavu mengi humu, mbona mufti kiongozi wa waislamu Tanzania ni darasa la saba? na ile dili ya maleria NO MORE alikuwa anaongea na mama yako?
 
Huo ndio mwisho wako wa kumfahamu sugu. Na haimaanishi upo sahihi. Sugu ni form 6 leaver shule ya Iyunga. Wakikuwa wanakuja kucheza kikapu pale MTC sasahivi Mist.

Mie ni mdau wa Iyunga Technical Secondary School na Sugu hajawahi kusoma hapo.

By the way, Advanced Level Secondary Education imeanza kutolea Iyunga mwaka 2004, na Iyunga imetoa wahitimu wa kwanza wa Form Six mwaka 2006, unless kama umeoteshwa kuwa Sugu alimaliza Form Six mwaka 2006.
 

Wasioongea kiingereza unataka kumaanisha hawajasoma? Acha hizo;;;;:bored::bored::bored:
 
Sugu alikuwa Mwanza jamani kuwapiga tafu wenzie, pia nao watakuja huku kumpiga tafu kama atakuwa na issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…