Mbona umepanga mazee matupu? Usijidanganye na uliyoyaona kwenye first leg yakija kwenye uwanja teleza watawasunbua sana na sasa hawana cha kupoteza walishafungwa nyumbani watafunguka sana
Morrison na Dilunga ni Wingers wakali sana wenye speed ya kuharakisha mashambulizi. Vilevile kwa sasa Morrison ameimarika sana amekuwa na uwezo wa kushuka kuja kusaidia team wakati inashambuliwa.
Morrison anawafanya opponents wamfanyie faulo kutokana na namna yake ya uchezaji. Hii inafanya team hiyo waweze kufanya makosa mengi.
Nimeamua kumuweka Mzamiru badala ya Kanoute kutokana na kwamba Mzamiru ni box to box midfielder. So tukiwa tunashambulia anaweza kuongeza idadi ya washabukiaji na kuwa watano kwenye box ya mpinzani.
Vilevile tukiwa tunashambuliwa yupo na uwezo wa kurudi haraka na kujaza nafasi huku akimsaidia lwanga.
Mbona umepanga mazee matupu? Usijidanganye na uliyoyaona kwenye first leg yakija kwenye uwanja teleza watawasunbua sana na sasa hawana cha kupoteza walishafungwa nyumbani watafunguka sana
Mbona umepanga mazee matupu? Usijidanganye na uliyoyaona kwenye first leg yakija kwenye uwanja teleza watawasunbua sana na sasa hawana cha kupoteza walishafungwa nyumbani watafunguka sana
Simba ni kama maji.
Ndio team pekee inayotung'aalisha kimataifa.
Ninaweka mapendekezo yangu ya formation ya Leo.
Lengo ni kwamba leo tunataka kufunga mengi. View attachment 1985309