kwanini unaiuza,maana nyie vijana wa Posta hasa pale BP/PUMA janja janja nyingi sanaHabari wanajamvi,
Nauza subwoofer ya gari (deochestra). Ina mziki mkubwa sana.
Ipo tayari kuunganishwa na radio yeyote ya gari na kuanza kutumika.
Bei: 100,000
Location: Dar (Posta)
Contact: PM
View attachment 877143
View attachment 877140
View attachment 877141
View attachment 877142
Okay.Sasa kama we umeona haufai ndo unataka kuhamishia kwa wengine.Jifunze kubana matumizi kijana,we usawa huu unafanya matumizi ya mamiziki kwenye magari.nyie ndio tunao watafutaNimepata mziki mwingine. Kwa hiyo sioni haja ya kukaa na mziki ambao siutumii.