siku hizi wateja wamekuwa wafala badala ya wafalmeHabar wana jamii, leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo mara nyingi hutokea baina ya mteja na mtoa huduma.
Mara nyingi tunapenda kua na haraka pindi tunapohitaji huduma tuchukulie kama umeenda dukani au umeenda kufanya huduma za kifedha kwa wakala unapoenda unamkuta kuna mteja anahudumiwa either mmoja au watatu lakini unapofika ww unataka kua wa kwanza uhudumiwe.
Hii haiko sawa kabisa kwa nini tusiwe na utaratibu kama ilivyo bank? Mbona kule unaweza ukavumilia hata masaa 2 kukaa foleni ili uhudumiwe lakini kuvumilia kufanya huduma ukiwa mtaani unaona uzito.
Licha ya hilo bado unakuta huna uungwana na kuongea maneno mabaya na kumdharau mtoa huduma hajui au yuko polepole au kivyovyote vile.Hivi unashindwa kufikiria mpaka yy yupo pale hata kama kawekwa lkn si yupo kwa huduma? Tuwe na uungwana tunapohitaji Mahitaji.
Huyo huenda alikua na stress zake kichwani ila kuna baadhi wanatoa huduma nzuri mpaka unatamani siku nyine urudi pale.Hivi walinzi tunawachukuliaje ndugu zangu? Yaani automatically hua wapo kwenye mkao wa ujeuri.
Nimeingia bank mlinzi mmoja wa kiume akaniambia peni hakuna chukua yangu utanirudishia, nimemaliza kuitumia namtafuta simuoni namuona mwenzake wa kike amesimama mikono mfukoni, nikamsogelea.
Mimi: Za saa hii?
Yeye: Kimya
Mimi: Mambo:
Yeye: Ananiangalia tu
Mimi: Afande aliniachia kalamu yake hii ila simuoni.
Yeye: Akatoa mkono mfukoni. Akanyoosha kuipokea.
Mshkaji wangu akaniambia 'Dada anajiona SWAT'
Yaan inabidi wajirekebishe asee!! Ila pia kuna baadhi ya watoa huduma hasa wale walio ajiriwa kuna baadhi pia hawajali kwa sababu hawaoni hasara hata mteja asipomhudumia wakati anategemea alipwe pesa kupitia faida ya huyo mteja aliyemuacha[emoji2]siku hizi wateja wamekuwa wafala badala ya wafalme
Happy to see u again mjengoniHaiko sawa. Wateja tuna dharau sana
Niambie πHappy to see u again mjengoni
U hali gani? Pole na ulipokuwaNiambie π
Nilikuwa wapi kwani π€£U hali gani? Pole na ulipokuwa
Ndio uniambie maana niliapply subira kama bandiko linavyoelekeza.Nilikuwa wapi kwani π€£
πππ nilipigwa sugunyooNdio uniambie maana niliapply subira kama bandiko linavyoelekeza.
Hakika ilikua sugunyo kweli kweli, mpaka umeshindwa kuweka avatar πππsijapendaπππ nilipigwa sugunyoo
Sa itakuwaje jamani π€£Hakika ilikua sugunyo kweli kweli, mpaka umeshindwa kuweka avatar πππsijapenda
π pole sana ila si yameisha?Sa itakuwaje jamani π€£
Nitafutie basi avavatar
Ile mod walisepa nayo π
Pole kwa yaliyokukuta wakala MR MLAWAHabar wana jamii, leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo mara nyingi hutokea baina ya mteja na mtoa huduma.
Mara nyingi tunapenda kua na haraka pindi tunapohitaji huduma tuchukulie kama umeenda dukani au umeenda kufanya huduma za kifedha kwa wakala unapoenda unamkuta kuna mteja anahudumiwa either mmoja au watatu lakini unapofika wewe unataka kua wa kwanza uhudumiwe.
Hii haiko sawa kabisa kwanini tusiwe na utaratibu kama ilivyo bank? Mbona kule unaweza ukavumilia hata masaa 2 kukaa foleni ili uhudumiwe lakini kuvumilia kufanya huduma ukiwa mtaani unaona uzito.
Licha ya hilo bado unakuta huna uungwana na kuongea maneno mabaya na kumdharau mtoa huduma hajui au yuko polepole au kivyovyote vile. Hivi unashindwa kufikiria mpaka yeye yupo pale hata kama kawekwa lkn si yupo kwa huduma? Tuwe na uungwana tunapohitaji Mahitaji.