Gari hii haidaiwi na haigongi, inakufwata ulipo ( ndani ya dar es salaam), haina tatizo lolote. Gari ipo kigamboni, kisota na siku za wiki huwa inakuwa maeneo ya kurasini, Bandarini.
Njoo utizame ukiwa na fundi wako akusaidie kukagua, huhitaji chochote zaidi ya kununua na kuendesha, ni safi sana ndani.
Mafuta inatumia lita moja kwa kilometa 26, ni manual. Tofauti na subaru za sikuhizi na watu wanavodhani, ukiwa unaenda mkoani sasa, hapo inatumia lita moja KM 28 kama wewe ni dereva mzuri lakini wa manual, maana kama hujui kupanga gia utaliwa tu.
Engine ni Ej22- a.k.a bullet proof. Gari haijawahi kupata ajali na haijui michubuko, ila rangi inabidi upige tena maana walinipiga hapo kama unavyoona.
napatikana 0719206920