Ukiona gari inaitwa Subaru, as long as umeipenda, wewe inunue. Zingatia tu Kama unanunua kwa mtu iwe nzima haijachonokolewa engine. Subaru ni gari nzuri na imara sana, Naongea kama mtumiaji sio shabik au mjuaji tu, nimeitumia sana Forester na Impreza. Fuel economy ipo vzuri lita 1 ukiendesha hovyo sana unaenda kilometers 10. Spare zipo nyingi tu affordable pia ukiona spare ya Toyota ni 30,000 ujue Subaru itakua elfu40 au elfu50. Angalizo ukikanyaga kidogo tu umefika speed 100
na hautaona ni mwendo mkali. Kwahiyo ukiwa high way kutembea 120 ni kama kawaida tu.