E eddy88 Member Joined Jan 26, 2011 Posts 73 Reaction score 4 Apr 14, 2012 #1 Mambo vp?? Gari aina ya subaru impreza inauzwa, Ni ya mwaka 1996, Imetembea 126,000km, Bei 4.5m Contacts 0717 543373 0786 305664 Attachments 310764_324013630945658_100000110702171_1422639_799879194_a.jpg 7.4 KB · Views: 437 318673_324014054278949_100000110702171_1422641_2142264999_a.jpg 9.3 KB · Views: 433 377922_322805564399798_100000110702171_1419162_538849247_a.jpg 5.9 KB · Views: 425 310446_324015204278834_100000110702171_1422647_1840682149_a.jpg 10.3 KB · Views: 436
Mambo vp?? Gari aina ya subaru impreza inauzwa, Ni ya mwaka 1996, Imetembea 126,000km, Bei 4.5m Contacts 0717 543373 0786 305664
MATESLAA JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,246 Reaction score 76 Apr 14, 2012 #2 imechoka hiyo
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,086 Reaction score 12,691 Apr 14, 2012 #3 Duh, magari yanashuka bei sa'ivi.!
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,082 Reaction score 27,166 Apr 14, 2012 #4 TANMO said: Duh, magari yanashuka bei sa'ivi.! Click to expand... Sijui kwa nini nilikimbilia kununua wakati ule wa mionzi ya nyuklia ilipovuja Japan, niligongwa bei kinoma!
TANMO said: Duh, magari yanashuka bei sa'ivi.! Click to expand... Sijui kwa nini nilikimbilia kununua wakati ule wa mionzi ya nyuklia ilipovuja Japan, niligongwa bei kinoma!
J Jhung tiao Member Joined Mar 27, 2012 Posts 82 Reaction score 15 Apr 14, 2012 #5 Mbona ni starlet hiyo
Gele vaheke Senior Member Joined Mar 22, 2012 Posts 138 Reaction score 6 Apr 14, 2012 #6 Haipungui mkuu.
Head teacher JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 1,796 Reaction score 413 Apr 14, 2012 #7 spear zake zipo, mafundi wake wanaptikana, linakukula, au linabugia, au linakunya wese. ukipata mteja niPM, NA MIMI NINALO NEW model reg T...BZC, linanitoa jasho, naweza nikamwachia KWA BEI HIYO HIYO
spear zake zipo, mafundi wake wanaptikana, linakukula, au linabugia, au linakunya wese. ukipata mteja niPM, NA MIMI NINALO NEW model reg T...BZC, linanitoa jasho, naweza nikamwachia KWA BEI HIYO HIYO
E eddy88 Member Joined Jan 26, 2011 Posts 73 Reaction score 4 Apr 14, 2012 Thread starter #8 poa kaka, ntakushtua!!
M mpakataji Member Joined Oct 28, 2011 Posts 8 Reaction score 0 Apr 14, 2012 #9 eddy88 said: mambo vp?? Gari aina ya subaru impreza inauzwa, ni ya mwaka 1996, imetembea 126,000km, bei 4.5m contacts 0717 543373 0786 305664 Click to expand... cc ngapi?
eddy88 said: mambo vp?? Gari aina ya subaru impreza inauzwa, ni ya mwaka 1996, imetembea 126,000km, bei 4.5m contacts 0717 543373 0786 305664 Click to expand... cc ngapi?