subaru ina uzwa

subaru ina uzwa

Mpaligogo

Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
27
Reaction score
1
Gari ndogo aina ya subaru forester ya mwaka 2000. transmition ni menu. Imeingia nchini mwaka 2009 rangi yake ni nyeusi. Bei ni mapatano. Kwa mawasiliano namba za simu 0784-604065/0762-575759
 
Ingia FaceBook, search, Subaru Fans of Tanzania. Post tangazo lako humo, utauza fasta. All the best.
 
Ndio ina turbo ni gari nzima sana kama utakuwa na uhitaji wa kweli wasiliana nami kwa namba nilizo kupa hapo kwanini naiuza ni swala tu! La kwamba ninahitaji kuwa na pesa kwa matumizi mengine!
 
Gari ndogo aina ya subaru forester ya mwaka 2000. transmition ni menu. Imeingia nchini mwaka 2009 rangi yake ni nyeusi. Bei ni mapatano. Kwa mawasiliano namba za simu 0784-604065/0762-575759

Pamoja na kuwa ni mapatano ungeweka bei unayoanzia wewe pia na picha ni muhimu
 
Wauzaji kama nyie mnakera sana,
Weka details za kutosha ,picha ,odometer ,bei ya kuanzia n.k
unataka tuanze kukuuliza maswali ndio ufurahi?
 
Mafundi wa subaru wanapatikana wapi mkuu

Nadhani Arusha wanapatikana kwa wingi kwani kuna subaru nyingi sana kulinganisha na Dar!spear pia ni rahisi kupata kwani Arusha ipo karibu na nairobi..
 
Mimi nafikiri ungeweka maelezo zaidi
Mf; Gari ipo wapi, imetembea KM ngapi hadi sasa, Picha zake, Bei ya kuuzia (inaongeleka au ni fixed) na kama inadaiwa tozo zozote (road licence etc)
Itakusaidia kupata wanunuzi walio serious
 
Back
Top Bottom