Xv hautoweza kupata chini ya 16m mkuu jumlisha na gharama za kuwalipa madereva mpaka tunduma gari ndogo ni Tsh 750,000 mafuta piga hesabu kwa 3000km kwa 2.0 Engine..
Kazungula road toll pamoja na agent wa Bond ni 300usd..
Kuna malipo ya bara barani Zambia kupita kwenye toll gate zao Zipp saba unalipa nikipita wiki ijayo ntaangalia kwa gari ndogo..
Agent Kuingia Botswana pula 300 kama rand 600 road toll kuingia Botswana gari ndogo ni pula 250..
Kama gari imenunuliwa na agent hakuna gharama za karatasi kama inanunuliwa kwa dealer wanachaji rand 5000.
Ulimjulisha na mafuta gari imefika Tunduma na gharama ya kuifuta kwa agent upande wa Nakonde hapo...
Hiyo hela unaweza kupata Subaru forester sio XV..