wewe utakuwa wa Mwanza, hawa ndugu zake na bashite wanaamini kuwa gari kuwa na namba D ni mpya, whereas it is not, inaweza kuwa D lakini ni gari lilotoka kiwandani 2001, lakini inaweza kuwa A kumbe limetoka kiwandani 2008. msitafute magari kwa kutumia registration number, look for efficacy.Kama jumbe wangu unavyojieleza hapo juu, please anayeuza gari aina ya subaru forester jaman, aje dm tufanye bashara ila iwe number D. Na iwe kwenye hali nzuri.