rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,445 May 22, 2012 #1 wakuu naomba msaada hapa, nina subaru forester 1998 model,taa ya check engine kila wakati inawaka na kuzima,imeanza week iliyopita,tatizo litakuwa ni nini??je kuna madhara gani naweza pata ndani ya gari kwa hilo?
wakuu naomba msaada hapa, nina subaru forester 1998 model,taa ya check engine kila wakati inawaka na kuzima,imeanza week iliyopita,tatizo litakuwa ni nini??je kuna madhara gani naweza pata ndani ya gari kwa hilo?
jcb JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 280 Reaction score 66 May 22, 2012 #2 Timing belt inahitaji replacement mkuu pengine tokea imetengenezwa 1998 replacement haijafanyika. Madhara nikama itachoka kabisa nakukatika safari zitasimama chombo kitakuwa kimekukwamisha safari zako. Pita kwa wataalamu wakubadilishie mkuu.
Timing belt inahitaji replacement mkuu pengine tokea imetengenezwa 1998 replacement haijafanyika. Madhara nikama itachoka kabisa nakukatika safari zitasimama chombo kitakuwa kimekukwamisha safari zako. Pita kwa wataalamu wakubadilishie mkuu.