ahsante kwa michango yenu kuhusu spear kwasasa zinapatika kila sehemu na zipo nyingi na kuhusu mafuta gari ni cc2.0 na inaenda 8km kama unatumia AC kwa litre na 10km kama utumii AC so sidhani kama izo ndio sababu za msingi napenda kutoa shukrani zangu tena kwa michango yenu