good to hear that. mimi nilikosea nikauza gari niliyoanza nayo maisha, mpaka leo bado naikumbuka. sijui kama bado ipo kwani ni miaka mingi sana imepita. nimebadili magari mengi na sikumbuki idadi, lakini sijawahi kuwa na furaha nazo. gari ya kwanza ni kama mke wa kwanza, huwa kuna miujiza ndani yake..Thanks for advice mkuu..ilisumbua starter kit sensor,nikatoa laki 4,ikaua battery nikanunua original laki sita nimewasha juzi baada kukaa ndani week naona inamwaga petrol kutoka kwenye tank nikazima nikaachana nayo..najua ni inshu ndogo ila bado kuna inshu ingine inaleta mis sana ikiwa ata low speed ya town movements..ila ipo clean sio ya ovyo..ipo njema sana yani..
Sitauza maana wanunuzi wenyewe sikuiz hamna usawa mbovu tofauti na hapo ntaingia hasara tu..uzuri gari mbadala wake ipo..
Ndio ivyo mkuu..saa ingine mtu unauza kwa influence tu..ila sio kama unapenda.good to hear that. mimi nilikosea nikauza gari niliyoanza nayo maisha, mpaka leo bado naikumbuka. sijui kama bado ipo kwani ni miaka mingi sana imepita. nimebadili magari mengi na sikumbuki idadi, lakini sijawahi kuwa na furaha nazo. gari ya kwanza ni kama mke wa kwanza, huwa kuna miujiza ndani yake..
Nafikiri huijui iyovi ndugu....Mkuu Tanzania tumebahatika tuna barabara Nzuri sana (hongera kwa serikali-).
Hizi km nipo Dar huwa nafuta 250-360 kwny vipande vya Mwenge-ubungo au Quality Plaza hadi Airport.
Ila iwe ni usiku kukiwa kumetulia.
Kwa mikoani hata mchana sehemu nyingi sana za kufanyia majaribio...
Mfano ukiwa unaenda njia ya Iringa Kuna eneo linaitwa Iyovi, pale huwa naenjoy sana maana barabara ni super, Hakuna gari nyingi wala Hakuna askari wa barabarani
ila ipo siku mungu atakukamilishia tamanio la moyo wako..na ww utakua una cruise tu town apa..Sina gari ila napenda magari sana sana pia napenda racing
Uzi huu unanita furaha sana ...siachi comment ata moja
Wakuu napenda Subaru sana nilikuwa nauloza Subaru N12 iko vp niliona kwenye racing mashindano pale station
Me impreza sijawahi kuzipenda..ugonjwa wangu ni foresta na legacy..both with turbo.. Nikionaga ambazo hazina kipua naona ni toyota tu..Sina gari ila napenda magari sana sana pia napenda racing
Uzi huu unanita furaha sana ...siachi comment ata moja
Wakuu napenda Subaru sana nilikuwa nauloza Subaru N12 iko vp niliona kwenye racing mashindano pale station
Sawa mkuu nitaleta mlejesho cos ndo nimemaliza chuo nazisaka notiila ipo siku mungu atakukamilishia tamanio la moyo wako..na ww utakua una cruise tu town apa..
Sawa mkuu..all the best.Sawa mkuu nitaleta mlejesho cos ndo nimemaliza chuo nazisaka noti
Mkuu vipi kuhusu ground clearance, maana naiona kama ipo chini mno!! Pia vipi performance yake kwenye rough roads?Hahaha mkuu hii ni gari, Ziko vizuri sana hasa kwa,Safari ndefu
na hapo ndo mwisho wa IST hata ungekanyaga vipi isingeweza kufika 180... unless ufanye ECU remap..
most of toyota's ambazo ni chini ya 1.8 ltr engine na iwe cylindr 4 hazimalizi sahani
hadi ufanye mappin
Hio golf yako ni GTi au na ni ya mwaka gani?Kuna mjinga mmoja nipo safarini naenda mbeya yupo na crown tena km mpya maana Niliona number ni t...DL..., tumefika Iyovi akataka kushindana na mm Niko na Volkswagen golf....
Sikumtangulia nilimuacha amalize speed zote.....hata km 20 hakufika akasikia engine inapiga kelele..ikawa Ndio mwisho wa gari yake...
Na Hapo mm naenda nae mm nimefika 190 wakati uwezo wa gari yangu ni 300km/h
Toyota ni uchafu, Hakuna gari mle
Mkuu I've no experience na gari za Japan, mm natumia Germany brand, Volkswagen au Audi. Ungeomba ushauri wa hizi ningekupa mzuri sana.
Ila nakushauri pia angalia Volkswagen Touran, ni gari Nzuri sana na popote inaingia,
Achana na hizo gari common
Hii hapa
Gari Nzuri kubwa, boot ya kutosha, speed 260km/h
Mnaohitaji mafundi Subaru kuna kaka yangu yupo Ilala bungoni ye ni fundi Subaru tu
Namba ya Engineer Issa kwa matatizo yote ya Subaru muone 0759917001 na spea zake pia
Ninasubiri pia. Driving in rough road je?MKUU HEBU UTUELEZEE VZR, MODEL HII YA VW TOURAN NAKUMBUKA KUNA MCHANGIAJI MMOJA ALISHAWAHI KUSEMA KUWA TATIZO LAKE NI KWENYE GIA BOX AMBAYO NDIYO MOST COMMON PROBLEM.. HEBU TUAMBIE..
PILI MAFUNDI NAPO KUMEKUWA NA CHANGAMOTO, JE NI KWELI...
MWINGINE AKAJA NA SHUHUDA YA KUWA SPARE PART YA HII MODEL BADO NI SHIDA ESPECIALLY TAA KUBWA ZA MBELE, SITE MIRROR, TAA ZA NYUMA NI MPAKA UAGIZE KUPITIA NAIROBI AU SOUTH AFRIKA, JE NI KWELI..
VIPI BOJO JOINT NA MINOFU MINGINE YA UVUNGUNI KWENYE MODEL HII, NI RELIABLE AU NDIYO MPAKA NAIROB NA JOBERG?????
MWISHO HII GARI NINA IADMIRE SANA SABABU YA BODY LAKE KUBWA THEN NI NEW FLAVA UKICOMPARE NA MBOLEA..
Mkuu I've no experience na gari za Japan, mm natumia Germany brand, Volkswagen au Audi. Ungeomba ushauri wa hizi ningekupa mzuri sana.
Ila nakushauri pia angalia Volkswagen Touran, ni gari Nzuri sana na popote inaingia,
Achana na hizo gari common
Hii hapa
Gari Nzuri kubwa, boot ya kutosha, speed 260km/h