Suarez apunguziwa adhabu

Babchabi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,745
Reaction score
777
Luis Suarez amepunguziwa adhabu kidogo na kwa sasa ataweza kufanya mazoezi pamoja na timu yake mpya FC Barcelona hadi pale tarehe 25/10/2014 ndipo ataanza rasmi kucheza ligi kuu na mashindano mengine.


Ameruhusiwa kucheza mechi za kirafiki kwa maana hiyo mechi ya Barcelona na Leon FC ambayo itafanyika tarehe 18/08/2014 Suarez atashuka dimbani na siku hiyo ndio itakua ni presentation yake kwa washabiki wa FC Barcelona.

Chanzo: Tovuti ya FCBarcelona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…