Kipindi icho ajira za serikali na private nje nje hawakuwapanga leo hii ajira hakuna waanze kuwasumbua.. Wahakikishe uko wanapowaprleka wanawapa allowances mpaka biashara zao zitakapo changamka.Kama kaawaida kuna ambao wanataka kutumia huu kama mtaji wa kisiasa. Wamachinga walikuwa bad handled before tusiendelee kukosea.
Hakuna Jiji au Mji ambao hauna mipango au utaratibu. Kuwaacha tu wakae au wafanyanye watakavyo si sahihi. Mnaopiga kelele hebu ruhusuni waje waweke nyumbani kwenu hayo mabanda tuone mlivyo na uchungu.
Haiwezekani waweke mabanda hadi kwenye mitaro au barabarani wakiuza kwa kuchuuza bidhaa za watu madukani ambako sasa wanunuaji hawaendi.
Kuna jengo la machinga complex...halina watu....but pia serikali itenge sehemu ambayo mar hing guys watakuwepo. Tukishindwa kujipanga tunajipanga kushindwa.
Wanasiasa wasio na hoja wanataka watumia machinga kama mtaji kwao.mimi hili nakataa....wamachinga waelekezwe au waandaliwe eneo mahsusi ambo watakuwepo. But si kuweka biashara zao popote watakapo.
Kama tunasema wengi ni degree holders bas naamini watakuwa waelewa sana na kuelewa suala la mipango miji lilivyo. Maana hao wana uelewa na wanafahamu au wanaweza kuelekezwa sheria wakazielewa.
rikali ya Chama cha Mapunduzi, Ndiyo waliwaruhusu kuwapo humu barabarani, Serikali hii hii ndiyo itawaondoa, CCM orijino haiwezi kukubali hali kama hii kuendelea kuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliewakataza kujishughulisha issue ni maeneo waliyopoKama wanauza vitu halali waachwe.wewe unayesema wanachafua mazingira.nadhani huifaham njaa.wala hujui taabu.kama Mungu amekujaalia Neema hiyo ni bora kukaa kimya kuliko kuchangia kwa mihenko pasi na kuangalia ni madhara gani watakumbana nayo.mana wengi wao ni wanafamilia.na wanasomesha dhen ukija kufanikiwa unasema machinga ni takataka.,ingali mzazi wako alikusomesha kupitia umachinga.,tuwe na akiba ya maneno..Mm sio machinga ila nafarijika nikiwaona wanaposaka Riziki zao kwenye jua Kali pasi na kukata tamaa
Any smart person unaefuata taratibu utapangisha fremu rasmi kabla ya kubomolewa...Kipindi icho ajira za serikali na private nje nje hawakuwapanga leo hii ajira hakuna waanze kuwasumbua.. Wahakikishe uko wanapowaprleka wanawapa allowances mpaka biashara zao zitakapo changamka.