Hao jamaa ela wanakusanya kisha wanawasilisha hazina, then ndo wanaomba bajeti ya matumizi ya mwezi husika sasa kuzipata kiasi walichoomba ndo mtihani watapata thekuthi cha kile walichokiomba hapo unadhani hivo vibati vitakuja bure?Hawa jamaa watakuwa na matatizo makubwa sijui wamekwama wapi ss ni mwezi wa tano sijapata hicho kikadi mara ya mwisho kuli new ilichukua wiki mmoja tu ss cjui shida iko wapi?
nafikiri sasa wakati umefika kuwa na independent organi ya licencing. maana hata kero zitapunguaKumekuwa nanusufu sana unapohitaji kuhuisha leseni yako,hasa kwa mikoani ambapo unasubiri leseni hadi miezi minne,tunaambiwa leseni zinaprintiwa dar,halafu ukifika TRA ofsin msululu wa watu,kwa hiyo tunaomba TRA mliangalie hili,nadhani enzi za kusubiri huduma masaa sita kwa msongamano wa watu kwa kweli yamepitwa na wkati.
Unaweza omba ruhusa ofsin kwako kwa muda wa saa moja ukifika TRA unakaa mpaka muda unakuishia kabisa.
Nadhani hata watumish wa TRA upande wa leseni idadi kubwa ya wateja inawafanya mchoko sana.
Jibu kuntu kabisaaaHao jamaa ela wanakusanya kisha wanawasilisha hazina, then ndo wanaomba bajeti ya matumizi ya mwezi husika sasa kuzipata kiasi walichoomba ndo mtihani watapata thekuthi cha kile walichokiomba hapo unadhani hivo vibati vitakuja bure?
Pesa zote kujenga sitigulas joji, kununua durimlaina na kujenga madaraja kuweni wapole tu. Mbona zamani zilikua zinatoka fasta tu. Hao staff wanaonewa bure ishu ipo nje ya uwezo wao.
Mmteule nili renew lesen mwezi wa 4 nimeipata mwezi wa 9 niligombaba sana na hawa saff wa tra maana hawakua wanatoa jibu la kueleweka nililaumu na kuwalaani kweli. Ila ikanibidi nifatilie kulikoni nimeenda mpk kwa kamishina mkuu huko ndo nilipopata jibu ingawa si kwa kamishina. Yeye aliniambia wanabadilisha mfumo lkn kuna kijana pale ndo alinitobolea siri. Aliniuliza hukupewa payment slip ya A4 iliyokatwa? Mengine tuyaacheJibu kuntu kabisaaa