PintoG JF-Expert Member Joined Jun 12, 2017 Posts 612 Reaction score 732 Oct 7, 2018 #1 Share uzoefu wako, wapi uliwahi kushuhudia huduma mbaya kabisa kama mteja. Je uliwahi kujutia huduma kama mteja, hii inalenga kwebye sehemu za biadhara kama hotel, bar, duka, saluni, Sehemu kama bar na hotel utazani unapewa huduma bure,
Share uzoefu wako, wapi uliwahi kushuhudia huduma mbaya kabisa kama mteja. Je uliwahi kujutia huduma kama mteja, hii inalenga kwebye sehemu za biadhara kama hotel, bar, duka, saluni, Sehemu kama bar na hotel utazani unapewa huduma bure,
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,962 Reaction score 35,215 Oct 8, 2018 #2 Kuna sehemu ambazo nikitaja hapa nitaishia tu kutolewa mapovu
MOI JOHN JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 1,735 Reaction score 1,085 Oct 8, 2018 #3 Mi nikiona mdada tu dukani basi hata kuingia kununua kitu nahairisha. Wengi wao wana dharau sana.