GONZZ EPACLEM
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 312
- 240
Kuchukuliwa mmoja au wawili maana yake ndo nafasi iliyokuwa imebaki baada ya first selection, ammbazo hawajatoa maaana yake zilijaa tokaa awamu ya kwanzaWatu walio chaguliwa ni wachache mmno unakuta coz kachaguliwa mmoja au wawili, pengine sababu itakuwa ni nini
Hekoo kama zotee... mamifumo ya hovyoo.kwanini hawakuziondoa kwenye pannel ya udahili kama zilijaa toka 1round tukawa na uhakika na tulichokuwa tumekiomba kuliko kuomba coz ambazo zimejaa 1round? mfumo unakera sana
ndugu yangu ka confirm sua wamemtumia admission letter na joining lkn kuna mwngne kachaguliwa sua ameconfrm na wamemtumia vyote na registration number huyu ndugu yang hakutumiwa hiv hii inakuaje mweny ufahamu ??
asante sana kwa maelezo yako nilidhan no tatizoNafikiri cha muhimu ni Admission letter na joining instructions kwa sababu ukifika chuo utapewa hiyo Registration nambaako kulingana na course uliyochaguliwa na wao watakavofanya students registration kwa wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza waliofika chuo kwa kozi husika.mfano mimi mwaka jana nilipewa admission letter, joining instructions hapohapo nikapewa na registration ya kozi ya BTM lakini sikwenda kusoma hapo SUA.
Cha muhimu sana hapo ni admission letter kutoka chuo husika maana huo ni utambulisho wako unaonesha ulichaguliwa kozi ipi kulingana na qualification yako pia joining instructions inatoa maelezo ya vitu vya kuzingatia wakati unataka kujiunga na chuo na kuanza chuo nini ulipe na nini cha kufanya.kwa maana hiyo wanatoa admission letter na joining instructions kwa pamoja.nafikiri tupo wote mkuu kila la heriasante sana kwa maelezo yako nilidhan no tatizo