Kulikuwa na haja na huu uzi?
we ndo wale wakishika 200k tu ni kiwewe, dukanu unanunua wembe wa mia 250 lkn unatoa mapesa yote kwa wallet na kuanza kuramba mate kuhesabia kana kwamba unatoa Mil 10. Yaani kama masai na chupi mpya hadi mgolole ataupandisha juu chupi mpya ionekane!