Kama umesoma egm basi o level uwe umepata c phy na chem Advance uwe umepata at least 4 points, download TCU guidebook mule utapata Maelezo zaidi.je coz ya irrigation & water resource eng, vigezo vkoje?
Kuna mahusiano gani Kati ya ushamba na elimu?Kuna prof mmoja anasemaga SUa Ni chuo cha washamba. Hiv ni kweli?
Kuna prof mmoja anasemaga SUa Ni chuo cha washamba. Hiv ni kweli?
srry aisee... kwa hiyo hata aliyesoma ECA nae anaweza kusoma hiyo AEA??????...Hakikisha unapata points nzuri hiyo kozi wanaoomba ni wengi. HGE unasoma hiyo AEA.
Ndio unaweza soma tafuta TCU guidebook wameelezea vigezo ila eca unaweza soma pia.srry aisee... kwa hiyo hata aliyesoma ECA nae anaweza kusoma hiyo AEA??????...
ok shukran kiongozNdio unaweza soma tafuta TCU guidebook wameelezea vigezo ila eca unaweza soma pia.
srry aisee... kwa hiyo hata aliyesoma ECA nae anaweza kusoma hiyo AEA??????...
samahan kwa swali langu je MTU kama amesoma CBN anaweza akasoma kwenye hicho chuo? je anaweza akasoma kozi zp? nitashukuru kwa jibu lako