Wikend hii nakuja kupunguza uzito kwako:d:d:d:d:d
Wikend hii nakuja kupunguza uzito kwako
Mara moja tu? Wana utani hao
Not easy to be applicable in our african society where we demand sex after geting our meal or diet daily
Ni kujiendekeza tu! It is applicable if you accept it. Tena ratiba iyo inawafanya kumisiana na mnapokutana basi siku hiyo kazi inafanyika kisawasawa sio kugusanagusana kila siku!!!
ha! haaaaaaa!!! Wamegusa kale ka hobby kako!
Ki ukweli tunatofautiana.Hivi inawezekana mtu akawa anajiskia ku sex through out the week?Kuanzia j3hadi j3.
Huu utafiti huenda ukawa sahihi huko Marekani, huku kwetu hiyo mara moja kwa wiki ndio chanzo cha ugomvi kwa walio kwenye mahusiano. Paulo Sergio De Souz fanya tu utafiti wako kwenye majibu ya hii topic utapata majibu!
Kama huamini muulize jogoo habare anayo
Kwani wanaofanya ni wanaume tu mpendwa teh
Endelea tu kuji-quote teh, hobby inakuchanganya
Kwa iyo hapa unamaanisha inawezekana kwa wanaume.