Tayari water test kit imeshakuja, nimepata toka Uswiss. Pia nimeendelea na study tour yangu vizuri. Kama wajasiriamali tunaotaka kufanikiwa, ni lazima tutoke ili tuone wenzetu wanafanya nini na kwa njia gani ktk jambo lile lile. Inaweza kukufumbua macho au yaweza kukupunguzia gharama kwa kujifunza kwa mwenzako.