ERIK JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 623 Reaction score 315 Jul 1, 2019 #1 Habari, Nauza monitor speaker kwa matumizi studioa used miezi miwili tu zinaonekana kama mpya M AUDIO BX 8 ni 750,000 M AUDIO BX 5 ni 450,000 mixer Ndogo 200,000 Kwa mawasiliano zaidi 0658 64 44 85 Attachments IMG_20190624_115048_0.jpg 127.7 KB · Views: 27 IMG_20190624_115206_3.jpg 148.5 KB · Views: 26 IMG_20190624_115215_0.jpg 117.5 KB · Views: 29 IMG_20190627_221143_9.jpg 187.4 KB · Views: 27 IMG_20190627_221152_8.jpg 189 KB · Views: 26
Habari, Nauza monitor speaker kwa matumizi studioa used miezi miwili tu zinaonekana kama mpya M AUDIO BX 8 ni 750,000 M AUDIO BX 5 ni 450,000 mixer Ndogo 200,000 Kwa mawasiliano zaidi 0658 64 44 85
Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,841 Reaction score 24,357 Jul 1, 2019 #2 Mkuu kwa nini unauza mtaji huo
ERIK JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 623 Reaction score 315 Jul 2, 2019 Thread starter #3 Jembekillo said: Mkuu kwa nini unauza mtaji huo Click to expand... Mimi nina studio full ya Audio na video, na natumia aina ya vitu hivi navyouza! kuna ndugu yangu aliniletea sasa bahati mbaya aina ya speaker monitor alizoniletea ndyo ninazotumia sasa sina kazi nazo!
Jembekillo said: Mkuu kwa nini unauza mtaji huo Click to expand... Mimi nina studio full ya Audio na video, na natumia aina ya vitu hivi navyouza! kuna ndugu yangu aliniletea sasa bahati mbaya aina ya speaker monitor alizoniletea ndyo ninazotumia sasa sina kazi nazo!