Bonyeza hapa pia utasoma wasifu wa jamaa, jamaa ni mkali sana sasa kama akipata kazi hii duh shughuli itakuwa pevu kwa wachezaji wavivu. ila nafikiri mshahara wa 45,000 pounds kwa wiki tutaweza? kwa sisi tumezoea kwa mwezi ni 180,000 pounds. ukibadilisha kwa hela ya tanzania ni kama 432million kwa Mwezi.
Kifupi wazo lako haliwezekani.
[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Stuart_Pearce[/ame]