Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,983
- 7,737
Nina nyuzi karibia 50 hayo yote unayoyasemea nimeyaongelea huwezi ongelea vitu vyote kwenye uzi mmojaunfortunately unaongea kama mtu aliemaliza form six EGM au HGE yaan point ni zilezile zaidi ulichoongeza ni Mkapa na structure yake. Talk as implementer enriched with statistical data and evidence and how you are going to achieve what you have articulated. For example if i ask, Do you know the price of surveying just one acre?
Jifunze kiingereza kwanza ni statistical data. Naomba nijibu gharama za kusurvey kijiji kimoja. Kwaio uzi wa leo ulikua ni wa kutaja point kama mhitimu wa A-level? Aya nipe link ya uzi ambao unanona umeprovide in detail solutionsNina nyuzi karibia 50 hayo yote unayoyasemea nimeyaongelea huwezi ongelea vitu vyote kwenye uzi mmoja
Eti statistics data!! kwa hiyo point ni wazi huijui mifumo ya Tanzania yaani ni keyboard warriors
Eti gharama ya ku-survey ilihali nchi imejaa squatter kila kona hivi unajua unachoongea hizo gharama wewe kujua zinafaida gani ilihali squatter zipo kila kona na zinaendelea jikite kwenye mambo ya msingiJifunze kiingereza kwanza ni statistical data. Naomba nijibu gharama za kusurvey kijiji kimoja. Kwaio uzi wa leo ulikua ni wa kutaja point kama mhitimu wa A-level? Aya nipe link ya uzi ambao unanona umeprovide in detail solutions
Sasa ni kwamba unaniambia hivyo kwamba sijui kama squatter zipo nying au maana yake nn? Wewe umesema utapima nch nzima sasa utapimaje kitu usichojua gharama zake? Kiufupi we jamaa ni muanisha points ila hujui cha kufanya na hzo points huna tofauti na wanasiasa uchwala.Eti gharama ya ku-survey ilihali nchi imejaa squatter kila kona hivi unajua unachoongea hizo gharama wewe kujua zinafaida gani ilihali squatter zipo kila kona na zinaendelea jikite mambo ya msingi
Nchi hii haina kitu kinachoitwa mipango miji kama hizi gharama zingekuwepo kusingekuwa na squatter kila konaSasa ni kwamba unaniambia hivyo kwamba sijui kama squatter zipo nying au maana yake nn? Wewe umesema utapima nch nzima sasa utapimaje kitu usichojua gharama zake? Kiufupi we jamaa ni muanisha points ila hujui cha kufanya na hzo points huna tofauti na wanasiasa uchwala.
we jamaa ni mjinga sana na bora ukae kimya ufiche ujinga wako. Ngoja nikutoe ujinga sasa, kwa taarifa yako hii nchi asilimia 33 ya vijiji vyake vimepangiwa matumiz bora ya ardhi. Enewei unaweza sema huko ni kijijin, maeneo kibao yamepangiwa matumiz ya ardhi yaan yamepangwa eg maeneo ya mbweni, tegeta baadhi, upanga, etc ni meng sema compliance ndo tatizo kwa baadhi. Squatter ni nyingj lakin sio kweli kusema hakuna sehem zilizopngwaNchi hii haina kitu kinachoitwa mipango miji kama hizi gharama zingekuwepo kusingekuwa na squatter kila kona
Mimi hata unidhihaki vipi au unitukanaje siwezi kukurudishia kumbuka MIMI NI RAIS MTARAJIWA SIWEZI MTUKANA MWANACHI WANGUwe jamaa ni mjinga sana na bora ukae kimya ufiche ujinga wako. Ngoja nikutoe ujinga sasa, kwa taarifa yako hii nchi asilimia 33 ya vijiji vyake vimepangiwa matumiz bora ya ardhi. Enewei unaweza sema huko ni kijijin, maeneo kibao yamepangiwa matumiz ya ardhi yaan yamepangwa eg maeneo ya mbweni, tegeta baadhi, upanga, etc ni meng sema compliance ndo tatizo kwa baadhi. Squatter ni nyingj lakin sio kweli kusema hakuna sehem zilizopngwa
Yaan ety mimi sielew dhana ya mipango miji. Sasa hizo baa kufunguliwa ni issue ya mipango miji au NEMC? Je, huko masaki kuna baa ambayo ipo katika sehem ambayo haijaidhinishwa matumizi yake kama bar? Swal langu la mwisho, unapangaje kitu usichojua gharama yake? Naomba nijibu maswal yang sio unachagua machacheMimi hata unidhihaki vipi au unitukanaje siwezi kukurudishia kumbuka MIMI NI RAIS MTARAJIWA SIWEZI MTUKANA MWANACHI WANGU
Sehemu nyingi zilizopangwa zimepangwa na wakoloni ni chache sana ambazo zimepangiliwa na wanafuata kweli urban planning
Kupanga miji sio tu nyumba kuwa kwenye mpangilio mfano leo hii masaki pamepangiliwa ila cha ajabu baa zinafunguliwa na night-club katika ya makazi ya watu sio sawa, nenda coco Beach ule ni uchafu uko pale
Dhana ya mipango miji ni pana sana bahati mbaya wewe hata huijui kwa mapana yake unadhani ni nyumba kuwa kwenye mpangilio
Hao wanaojua gharama mbona wameshindwa kuondoa hizi squatter, kwamba kujua gharama ndo kunaondoa squatterYaan ety mimi sielew dhana ya mipango miji. Sasa hizo baa kufunguliwa ni issue ya mipango miji au NEMC? Je, huko masaki kuna baa ambayo ipo katika sehem ambayo haijaidhinishwa matumizi yake kama bar? Swal langu la mwisho, unapangaje kitu usichojua gharama yake? Naomba nijibu maswal yang sio unachagua machache
Kwenye masterplanning inaonyesha sehemu za bar na nightclub sio swala la nemc kwenye hii point inaonyesha hujui hata dhana ya mipango mijiYaan ety mimi sielew dhana ya mipango miji. Sasa hizo baa kufunguliwa ni issue ya mipango miji au NEMC? Je, huko masaki kuna baa ambayo ipo katika sehem ambayo haijaidhinishwa matumizi yake kama bar? Swal langu la mwisho, unapangaje kitu usichojua gharama yake? Naomba nijibu maswal yang sio unachagua machache
Daah we jamaa unanifurahisha sana. Nakushauri ukajifunze zaidi juu ya mipango miji na vijijin. Kujua gharama ni step mojawapo kama rais ili kuweka vipaumbele vyako kiufasaha. Mwisho kweny squatter kunafanya formalization, squatter upgrading and regularization na sio kupanga mpya maan utaingia gharama kubwa sana ambayo hutoweza.Hao wanaojua gharama mbona wameshindwa kuondoa hizi squatter, kwamba kujua gharama ndo kunaondoa squatter
we huelewi wapi? Nmeuliza kama kweny master plan inaonyesha hii ni sehem ya bar na ikapiga makelele usiku(case ya night club za masaki), je hilo swala linakua la mipango miji au NEMCKwenye masterplanning inaonyesha sehemu za bar na nightclub sio swala la nemc kwenye hii point inaonyesha hujui hata dhana ya mipango miji
Gharama sio hatua ya kwanza bali ya mwishoDaah we jamaa unanifurahisha sana. Nakushauri ukajifunze zaidi juu ya mipango miji na vijijin. Kujua gharama ni step mojawapo kama rais ili kuweka vipaumbele vyako kiufasaha. Mwisho kweny squatter kunafanya formalization, squatter upgrading and regularization na sio kupanga mpya maan utaingia gharama kubwa sana ambayo hutoweza.
Ujinga ni tusi?Mimi hata unidhihaki vipi au unitukanaje siwezi kukurudishia kumbuka MIMI NI RAIS MTARAJIWA SIWEZI MTUKANA MWANACHI WANGU
Sehemu nyingi zilizopangwa zimepangwa na wakoloni ni chache sana ambazo zimepangiliwa na wanafuata kweli urban planning
Kupanga miji sio tu nyumba kuwa kwenye mpangilio mfano leo hii masaki pamepangiliwa ila cha ajabu baa zinafunguliwa na night-club katika ya makazi ya watu sio sawa, nenda coco Beach ule ni uchafu uko pale
Dhana ya mipango miji ni pana sana bahati mbaya wewe hata huijui kwa mapana yake unadhani ni nyumba kuwa kwenye mpangilio
Ndio ni mipango miji haifuatwi huwezi enda nchi inayofuata miji alafu ukajiamulia tu kujenga bar au night sehemu unayojisikia wewe sio swala la nemc ni swala la watu kutokufuata mipango mijiwe huelewi wapi? Nmeuliza kama kweny master plan inaonyesha hii ni sehem ya bar na ikapiga makelele usiku(case ya night club za masaki), je hilo swala linakua la mipango miji au NEMC
Ndio Ujinga ni tusi kubwa sanaUjinga ni tusi?