Papa D
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 752
- 182
Wana CCM mnafurahia ushindi mnono wa kubumba, leo niwakumbushe jambo kwamba;
Mzee JMK aliulea upinzani ukaanza kukomaa. Mwana 2015 ikapelekea kuwepo na ushindani uliosababisha tumpate JPM ambaye.
Wana CCM wote mnajivunia kuwa ni jembe lenu. Lakini kipindi hicho kusingekuwa na upinzani imara huenda Rais angekuwa Rose Migiro au Lazaro nyarandu au Benard Membe.
Swali langu kwenu:
Leo Mnapouvuruga upinzani mnadhani mtawezaji kumpata mrithi bora wa Magufuli?
TAFAKARINI