Hiki kifaa nimekikuta madukani Kariakoo, bei yake ni kati ya shilingi 180,000/= hadi 200,000/=
Kuna sehemu ya kuingiza kadi za dstv ukapata channel zao baada ya kulipia, pamoja na channel zote za nyumbani na nyingi sana za nje.
Baadhi wa wauzaji wanadai dstv wamesimamisha kuuza kadi kwa sababu madishi yao yalikosa wanunuzi, ni vema basi kabla ya kufanya manunuzi ukapata uhakika kutoka kwa wauzaji wa dstv 0754 200096/7 au 0784 600096/7.