Kwahiyo Mifupa Yake Na Huo USKELETON Atakabikaje? Na Isitoshe Hata Sheria Za FIFA, CAF na TFF Sidhani Kama Zinaweza Kumruhusu Acheze Mpira Kwani Anaweza Kusababisha Madhara Makubwa Tu Kwa Wenzake! Hivyo Alivyo Tu Huo Mpira Utakaa Wapi Hapo? Saizi Ya UGOKO na TUMBO Lake Vinaendana Sasa Kutakuwa Kweli Na Football Hapo? Na Inaonekana Huyo Mshikaji Akipiga Mipira Ya Kross a.k.a Banana Chop Haipindi Na Inanyooka Tu Kama Alivyo Yeye Na Inaonekana Pia Akienda MSALANI Haja KUBWA Wewe Unayesubiri Kuingia Badala Yake Kaombe Msaada Vyoo Vya JIRANI Kwani Watu Kama Hao MAKIMBA Yao Yanashabihiana Na Maumbile Yao Na Huwa WANAJAZA Mno Mashimo Ya Vyoo.....Hongereni Yanga.