Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 343
- 407
Kiongozi jifariji una chapiwa 😁Pole kwa experience yako, lakini siyo kweli.
Mimi nipo ktk long distance for 1 year now na kila kitu kinaenda sawa, so usikariri mkuu.
Inauma hiyoKiongozi jifariji una chapiwa 😁
Sio utoto kiongozi bali kuwa na mtu wa karibu ni jambo la kheri hasa kishuleshule kuna changamoto mbili tatu za kimasomo ndio inapelekea different gendee to be closerAlafu huo ulikua utoto unakusumbua ww, badala ya kusoma unawaza mapenzi
Kabisa nakuunga mkono wewe ulisikia wapi🤔Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka!
Mapenzi ya dhati ni yale ya mama na mtoto hay mengine ni stress tu
Kuna malaya ashawai nambia hvoFimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka!
Mnaona kila baada ya muda gani?Pole kwa experience yako, lakini siyo kweli.
Mimi nipo ktk long distance for 1 year now na kila kitu kinaenda sawa, so usikariri mkuu.
Kama ni mtu ambaye ni matured kabisa na umri umeenda na anajielewa, long distance relationships zinakuwa sawa. Lakini kwa hivi vijitu ndio vimemaliza tu high school, long distance relationship ni ngumu sababu ni wachanga kwenye mambo ya relationships na wanadanganyika kirahisi. Hivyo aliye karibu ndio analabua nyoka, wa mbali ni stress tupu kama jamaa sababu yeye ni wa pili au wa tatu hapo kwa huyo mdada.Pole kwa experience yako, lakini siyo kweli.
Mimi nipo ktk long distance for 1 year now na kila kitu kinaenda sawa, so usikariri mkuu.
Nakubaliana nawe ujue long distance is nothing for the true love lakini kwa wakati hule ilikuwa vigumu kuendelea na long distance kwa sababu mmoja wetu alishaanza kuwekwa plan B au Plan CKama ni mtu ambaye ni matured kabisa na umri umeenda na anajielewa, long distance relationships zinakuwa sawa. Lakini kwa hivi vijitu ndio vimemaliza tu high school, long distance relationship ni ngumu sababu ni wachanga kwenye mambo ya relationships na wanadanganyika kirahisi. Hivyo aliye karibu ndio analabua nyoka, wa mbali ni stress tupu kama jamaa sababu yeye ni wa pili au wa tatu hapo kwa huyo mdada.
Hahahahaha swali gani hiloHamkuwahi kufanya ngono?