Inji ipi mkuuSakayo upo inji hii kweli?
Zaidi ya unavyojua najuaNiko poa, si unajua tena
Ya chit-chatInji ipi mkuu
SawaZaidi ya unavyojua najua
Nipo mkuuYa chit-chat
carbamazepineKichwa kichafu leo hujatoa hela ya matumizi
Hunter napita tunanyapia nyapia naona siku hizi umemganda carba
Punguza hofu dogo.Yaani wewe ndo sikusomi kabisaaa,siku hizi hata sikuelewi yani
Hahaha aisee kumbeHunter napita tu
Tunakupenda pia mpenziNimewamiss sana ndugu zangu wa ukweli jaman nawapenda mimi
Asanteh, Ubarikiwe sana mamamtumishi. Ulale salama.Zaburi 121
1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
2 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;
4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
MUWE NA USIKU MWEMA NA MLINDWE NA DAMU YAKE YESU KRISTONAWAPENDA MIMI