Stress Free Zone


Hayo mazingira ndio huwa kizunguzungu, lakini mie nikiwa na hamu zangu wala sijali nakaa nakula roho yangu burudani, yaan hata sitakagi kuangalia pilipili inapotolewa maana waweza pata mvurugiko ghafla
,ni kujifanya huoni tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…