Nashukuru sana kakaUsirudi nyuma dada yangu, utakuja kujuta maisha yako yote ukimrudia huyo ex wako,hana lolote. Ngoja nikwambie kitu kuhusu sisi wanaume huwa hatubadiliki hata siku moja;huyo ex wako ni kicheche na hakuheshimu wala hakupendi na ukweli utabaki hivyo milele bila kujali sasa hivi anakubembeleza kiasi gani umrudie. Ukijiroga tuu kurudi utajuta,and it will be too late. Kinachotokea sasa ni vile tuu amemiss the way u used to cry and beg for him;the way u used to worship him(if i may say so),ile yeye kuwa na authority ya kukunyanyasa na wewe kuwa helpless about it,na hiyo huwa unaweza kumfanyia msichana anaekupenda kiukweli kweli sana,na akakuvumilia,sasa tangu umuache hana tena mtu wa kumfanyia hivyo,he will say all the words and he will do anything to get that back,ila haimaanishi kwamba anakupenda. Once he get that chance again, utakiona cha mtema kuni. Umempata mtu anaekupenda move on dada. Ukifanya kosa na kumrudia huyo ex utakuja kulilia chooni.
Ngoja nikumegee siri nyingine kuhusu sisis wanaume dada yangu, ukiona mwanaume anakucheat mpaka anaonyesha waziwazi kuwa anakucheat, na hajali wala haonyeshi kujutia hata ukijua kuwa ancheat jua kuwa huyo mwanaume hajawahi kukupenda,hakupendi wala hatakuja kukupenda maisha yote ya duniani na ahera, that is a fact. Ni hayo tu.
Beibii! Be strong enough to fight with majaribu! Kinachokusumbua wewe ni HURUMA c mapenzi tena yaani unamhurumia huyo ex wako anavyotapatapa! Ngja nkwambie ki2 kuna tabia zingine za binadamu huwa hazibadiliki hasa za umalaya! Kama ameshindwa kujirekebisha kwa hiyo miaka 3 basi huyo ni skio la kufa! Anapretend tu hapo! Then mama kama umeamua kusonga mbele kamwe usirudi nyuma! Labda nkuulize:how do u feel with your new bf? Are you real in love with him? Unamwonaje? Kama unampenda na anakupenda! Plz USIMPE NAFASI huyo ex wako mwambie ukweli kuwa its over maziima!
itakuwa yule x wake alikua anamfanya vizuri.we sijakuelewa kabisa.. unataka umrudie ili nini????
labda utujuze hapo.
halafu pili huyi uliye nae ni kwamba humpendi au?? coz i dont real get it, uko na mtu halafu bado unahaha na mtu aliyekuumiza miaka nenda rudi.
if that is the case,then what is the meaning of this thread?.Kwakweli am comfortable with my boyfriend.nampenda mno.and he is better than my ex by far
Kwakweli am comfortable with my boyfriend.nampenda mno.and he is better than my ex by far
Sasa kwa nini umefikiria hata kuomba ushauri?? Yaani wewe una ile true nature ya mwanamke - kukosa maamzi. Yaani matuhuma yote hayo, halafu unafikiria hata kuomba ushauri? wa nini? .... Kitakachofuata ni wewe kumwumiza huyo anayekupenda. Unless hizo tuhuma ulizomshushia huyo X wako ni za uongo na una ka-guilt feeling fulani ya kitu kibaya ulichomfanyia. Ila kama unayoyasema ni kweli, hukustahili hata kuanzisha mada hii - labda tu unataka ku-share uzoefu wako.
if that is the case,then what is the meaning of this thread?.
Why dont you want to come clean?just say it,that Your X was humping your to the moon than your present bf.
Jamani mumenishambulia kweli kweli!nawashukuru though..imenijenga.na si kwamba nlikosa msimamo,mjue tu pia ukishatendwa mtu unakuwa na a lot of insecurities of hata kuingia in a new serious relationship.its human.naomba mnielewe.nampenda sana my boyfriend.he completes me.
Hapana aise!not at all.ingekuwa hivo,ningeshacheat on my boyfriend na huyo ex.I've never!
kama kunakitu hupati kwa huyo wa sasa nas kipo kwa yule xex wako nenda,Mimi ni msichana wa miaka 25.miaka minne iliyopita nlikutana na kijana flani nkiwa chuo,tukatokea kupendana tukawa wapenzi.muda haukupita sana,huyo kijana akaanza nionesha his true colours akawa mhuni mno.ikaanza kiburi na kikubwa akawa anacheat hadi ikawa inafahamika chuoni sababu kila kukicha kulikuwa na story kuhusu yeye na msichana flani.nliumia na kukonda sana sababu nlimpenda mno kupitiliza.nlikuwa nakosa usingizi,nakesha nalia kwa maumivu na vituko haviishi.mara nimpigie anikatie simu na kuizima kabisa hadi kesho yake akijiskia kuiwasha kumbe anakuwa yuko na binti mwingine.nkitishia kumuacha,anajirudi kwa siku kadhaa kisha anaendelea na uhuni wake.mchezo ukawa huo,nalia baadae namsamehe.na kipindi chote hicho sikuwahi cheat ingawa nlitongozwa mno na mi ni mtu ninaejiheshimu.mazoea na wanaume sinaga.nlimvumilia kwa miaka mitatu,siku akafanya tena nkajiskia moyo umechoka kabisa mateso nkaamua enough is enough nka break up mazima. Mara ya kwanza nlivomuacha hakushtuka,akijua ntarudi tu kama zamani.siku zilivoanza kukatika,akajua I was serious ndo akaanza kutapatapa begging me back kwa kila namna na mara kibao alikuja kwangu na kukesha nje hadi asubuhi akiomba nimsamehe.mi nkiamka majirani ndo wananiuliza imekuwaje wamemuona mtu kashinda nje kwangu usiku kucha.by then nkakutana na kijana mwingine anaenipenda sana na kikubwa nlichompendea huyu kaka,haoneshi kabisa kuyumbishwa na wanawake.ni mtu ambae anaweza mtukana msichana mbele yangu anaetaka kuleta mazoea,jambo ambalo sikuliona kabisa kwa ex wangu.ex wangu mara zote alikuwa bize na simu,kutwa anaflirt na wasichana.sasa saivi its already a year na ex hajaacha kuniomba nimrudie.katumia kila njia,kawafuata ndugu zake,kaenda kanisani,kawafuata ndugu zangu,amekuwa akinunua zawadi za kila aina.anatumia kila mbinu na amekuwa akiwaeleza watu amenikosea anaomba wamsaidie kuniomba msamaha.mimi kila nkiwaza kurudi,moyo unasita nkikumbuka the sleepless nights na nlivotesekea mapenzi.na kikubwa nna mpenzi who really loves me...
Naombeni ushauri,sababu at this point naona inaniweka in a sort of dilemma.najikuta naogopa kuja kuumizwa tena na my boyfriend,what if nae atabadilika huko mbeleni na my ex is really sincere anatubu.au nikaja mrudia ex,kumbe ni usanii tu akaja niumiza na hali nimemuacha a good man away who seemed to truly love me.
....Naombeni ushauri na si matusi!...asanteni.
Bora upigwe disco hapo chuo urudi kijijini ndo utajua life ilivyo baada ya kushikilia masomo unafikiria MPINI TU
Yaani wewe hovyo kabisa,na atakaekuoa ana balaa maana wote waliokupitia wakilia tu kidogo unawapa!!
Mdogo wangu huyu ex wako tayari ameshakuwa curse kwako, akutakii maendeleo, yote anayofanya ni makusudi na si upendo, kama kweli anakupenda angekuacha uwe na furaha na huyo mtu wako,na angeonekana kuumia ungesikia tu kwa watu. Nakuonea huruma najuta hata kwa nini alikuwa boy friend wako mana atakuhunt hata utakapolewa, hawa wanaume nawajua , imetokea kwa dada yangu. Its a curse he wil never stop until he die. Ukimkubalia tu ur finished. Try to stay far away from him., i love you
Mimi ni msichana wa miaka 25.miaka minne iliyopita nlikutana na kijana flani nkiwa chuo,tukatokea kupendana tukawa wapenzi.muda haukupita sana,huyo kijana akaanza nionesha his true colours akawa mhuni mno.ikaanza kiburi na kikubwa akawa anacheat hadi ikawa inafahamika chuoni sababu kila kukicha kulikuwa na story kuhusu yeye na msichana flani.nliumia na kukonda sana sababu nlimpenda mno kupitiliza.nlikuwa nakosa usingizi,nakesha nalia kwa maumivu na vituko haviishi.mara nimpigie anikatie simu na kuizima kabisa hadi kesho yake akijiskia kuiwasha kumbe anakuwa yuko na binti mwingine.nkitishia kumuacha,anajirudi kwa siku kadhaa kisha anaendelea na uhuni wake.mchezo ukawa huo,nalia baadae namsamehe.na kipindi chote hicho sikuwahi cheat ingawa nlitongozwa mno na mi ni mtu ninaejiheshimu.mazoea na wanaume sinaga.nlimvumilia kwa miaka mitatu,siku akafanya tena nkajiskia moyo umechoka kabisa mateso nkaamua enough is enough nka break up mazima. Mara ya kwanza nlivomuacha hakushtuka,akijua ntarudi tu kama zamani.siku zilivoanza kukatika,akajua I was serious ndo akaanza kutapatapa begging me back kwa kila namna na mara kibao alikuja kwangu na kukesha nje hadi asubuhi akiomba nimsamehe.mi nkiamka majirani ndo wananiuliza imekuwaje wamemuona mtu kashinda nje kwangu usiku kucha.by then nkakutana na kijana mwingine anaenipenda sana na kikubwa nlichompendea huyu kaka,haoneshi kabisa kuyumbishwa na wanawake.ni mtu ambae anaweza mtukana msichana mbele yangu anaetaka kuleta mazoea,jambo ambalo sikuliona kabisa kwa ex wangu.ex wangu mara zote alikuwa bize na simu,kutwa anaflirt na wasichana.sasa saivi its already a year na ex hajaacha kuniomba nimrudie.katumia kila njia,kawafuata ndugu zake,kaenda kanisani,kawafuata ndugu zangu,amekuwa akinunua zawadi za kila aina.anatumia kila mbinu na amekuwa akiwaeleza watu amenikosea anaomba wamsaidie kuniomba msamaha.mimi kila nkiwaza kurudi,moyo unasita nkikumbuka the sleepless nights na nlivotesekea mapenzi.na kikubwa nna mpenzi who really loves me...
Naombeni ushauri,sababu at this point naona inaniweka in a sort of dilemma.najikuta naogopa kuja kuumizwa tena na my boyfriend,what if nae atabadilika huko mbeleni na my ex is really sincere anatubu.au nikaja mrudia ex,kumbe ni usanii tu akaja niumiza na hali nimemuacha a good man away who seemed to truly love me.
....Naombeni ushauri na si matusi!...asanteni.
Mi nawashangaa sana hawa watu
Hivi unakuaje msahaulifu kiasi hiki?
Tena unasahau kijinga hivi?