Godfrey- denis
Member
- Aug 26, 2022
- 64
- 119
| Leo Tujifunze kwa Mfano Halisi π°π
Juzi CRDB Bank PLC wameanza kutoa gawio (dividends) kwa wanahisa wake! π¦π΅ Gawio la mwaka huu ni Tsh 65 kwa kila hisa β na guess what? Wanafunzi wangu wa darasa la uwekezaji (kwenye group langu la WhatsApp π²) waliowekeza kwenye hisa za CRDB wameanza kupokea gawio lao live and direct! π
π Wakaanza kushare SMS za magawio yao, kila mmoja kwa kiasi chake alichowekeza.
Na wote hawa hawajafanya kazi yoyote leo β pesa imeingia tu!
π Hapo ndipo wengine (ambao bado hawajachukua hatua) wakaanza kuuliza:
βMbona mimi sijapata? π€β
βHivi huwa inakuaje mtu anapewa pesa na benki? π¦β
βAaah! Bora ningesikia mapema ningeanza zamani π©β
π§ Sasa Hebu Tuelewe: GAWIO ni Nini?
π Gawio ni sehemu ya faida ambayo kampuni inaamua kuigawa kwa wanahisa wake, kulingana na hisa walizonazo.
Mfano: Ukiwa na 1,000 za hisa za CRDB, na kampuni imetangaza gawio la 65 Tsh kwa kila hisa, basi unapata:
π 1,000 x 65 = 65,000 Tsh
πNa Makampuni mengine Yanaendele kutoa Gawio Mwaka Huu.
π SOMO LA LEO:
Wekeza Leo ili Kesho Upokee Bila Kuvuja Jasho. πͺπΌ
Pesa unayoitafuta kila siku kupitia biashara au ajira β sehemu yake ipange iende kwenye uwekezaji.
Usisubiri uwe na milioni, anza na kile kidogo ulicho nacho leo.
β³ Baada ya miaka michache, utakua miongoni mwa wale wanaopokea gawio la mamilioni β bila kuandika invoice wala kukodisha fremu.
GODFREY DENIS
Millennium Investors Community Co-founder
0763721523