Dwalter Member Joined Apr 7, 2012 Posts 48 Reaction score 76 Jul 5, 2020 #21 Tafuta psychologist akusaidie
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Jul 5, 2020 #22 Nje ya mada...matatizo umejitafutia mwenyewe. Jeni alipokucheat ulitakiwa uachane naye haraka saana au umtumie kimaslahi. Yaani ungejifanya umesahau suala la kucheatiwa wewe ukiskia hamu unamwita unajilia anakwenda zake tena ungetumia kondomu. Mwanamke akishacheat acha huwezi mrekebisha.
Nje ya mada...matatizo umejitafutia mwenyewe. Jeni alipokucheat ulitakiwa uachane naye haraka saana au umtumie kimaslahi. Yaani ungejifanya umesahau suala la kucheatiwa wewe ukiskia hamu unamwita unajilia anakwenda zake tena ungetumia kondomu. Mwanamke akishacheat acha huwezi mrekebisha.
sjosh4 JF-Expert Member Joined Apr 10, 2020 Posts 888 Reaction score 942 Jul 5, 2020 #23 Pale tatizo linapotafuta tatizo. Kila siku nasema don't catch filingiz hamuelewi. Kijana wa kiume kunywa pombe sababu umeachwa ni umama, narudia tena ni umama. Bora amekuacha, mngeona si ungekuwa ushakufa kabisa
Pale tatizo linapotafuta tatizo. Kila siku nasema don't catch filingiz hamuelewi. Kijana wa kiume kunywa pombe sababu umeachwa ni umama, narudia tena ni umama. Bora amekuacha, mngeona si ungekuwa ushakufa kabisa
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Jul 5, 2020 #24 Ila huo mwandiko
Cefixine Member Joined Dec 17, 2019 Posts 22 Reaction score 29 Jul 6, 2020 Thread starter #25 Umefanya nn mkubwa Kichwa Kichafu said: Ila huo mwandiko Click to expand...