N NARCOS Member Joined Sep 4, 2016 Posts 12 Reaction score 1 Sep 6, 2016 #1 Hivi kampuni zipi credible and preferably international zinafanya storage ya dhahabu hapa Dar kabla kupelekwa nje? Je serikali inayo storage zak?e na rates kiasi gani kwa wiki au kwa mwezi? Je SGS wanafanya hiyo kazi ya storage?
Hivi kampuni zipi credible and preferably international zinafanya storage ya dhahabu hapa Dar kabla kupelekwa nje? Je serikali inayo storage zak?e na rates kiasi gani kwa wiki au kwa mwezi? Je SGS wanafanya hiyo kazi ya storage?
92mtl JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 459 Reaction score 309 Sep 7, 2016 #2 unataka ukaibe??
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,924 Reaction score 831,404 Sep 7, 2016 #3 NARCOS said: Hivi kampuni zipi credible and preferably international zinafanya storage ya dhahabu hapa Dar kabla kupelekwa nje? Je serikali inayo storage zak?e na rates kiasi gani kwa wiki au kwa mwezi? Je SGS wanafanya hiyo kazi ya storage? Click to expand... Sadly enough we do not have that facility Na wanajua kwanini wanafanya hivyo
NARCOS said: Hivi kampuni zipi credible and preferably international zinafanya storage ya dhahabu hapa Dar kabla kupelekwa nje? Je serikali inayo storage zak?e na rates kiasi gani kwa wiki au kwa mwezi? Je SGS wanafanya hiyo kazi ya storage? Click to expand... Sadly enough we do not have that facility Na wanajua kwanini wanafanya hivyo
N NARCOS Member Joined Sep 4, 2016 Posts 12 Reaction score 1 Sep 7, 2016 Thread starter #4 SGS au G4S??? Makampuni mengine wana store vipi gold zao?