Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,039
- 39,484
"sexual pleasure ya dakika chache isikufanye ukaweka rehani mustakhabali wa maisha yako"najua ushauri ulionipa una faida ila dah
Broo, si wanasema punyeto ina madhara, na ukame sugu unaleta tatizo la tez dume?If she is not adding tangiable value to your life in anyway and constantly demanding urgent aids, that lady is a thief
Kama suala ni kununua sex mbona dada poa wapo kuanzia mtaani, kumbi za starehe mpaka mitandaoni.Broo, si wanasema punyeto ina madhara, na ukame sugu unaleta tatizo la tez dume?
Bila kutoa mpunga utapataje ile kitu?
Kila mtu ana maamuzi yake, mimi siwezi kumlazimisha mtu afuate ninachoandika, lakini najua wanaonisikiliza wapo.Na bado hao wenzio hawata kusikilizaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaaa!!!Kila mtu ana maamuzi yake, mimi siwezi kumlazimisha mtu afuate ninachoandika, lakini najua wanaonisikiliza wapo.
Maoni yako tafadhaliNa bado hao wenzio hawata kusikilizaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha buree mjini.Maoni yako tafadhali
Nimecheka had machoziii, khaaahSiku niliyo tambulishwa kwake na nilivyo muona I thought she was the one.
Tuka badilishana namba kwa ajili ya mawasiliano, siku nipo katika mizunguko yangu town we met accidentally.
Ilikuwa mida ya lunch, na Kwa vile nilikuwa sina ratiba ngumu nika mualika tupate kitu mgahawa fulani.
Cha kushangaza aka mpigia simu rafiki yake aje tulipo!!.
It wasn't a problem kwani nili hisi huwa Wana kula pamoja so mwenzie ana weza akawa bored aliko.
PIcha Lina Anza rafiki alivyo fika, aka itwa kwa sauti kubwa!. Aisee lile eneo huwa ni tulivu na watu fulani hivi wastaarabu.
I was left puzzled sema Nika vunga ki comrade tu.
rafiki aka ambiwa agiza chochote, binti mstaarabu kaagiza makaange ya kuku na chipsi tu.
afisa bichwa SI Ika agiza wine ya 35k, makaange na chipsi na still haiku maliza.
Ina kula Huku ina ongea kwa sauti, rafiki kaji tahidi kumbonyeza, ila ni Kama alikuwa ana deki bahari!!
Ika taka kuagiza wine ya 2, rafiki yake aka mwambia zime tosha SI tuna Rudi job, paka shume Ika sema Ina beba kwa ajili ya baadae!!
Mara Eti nime sahau kuku uliza una fanya kazi wapi??, Wana kulipa. Shingapi??.
Mpaka Kuna li shangazi jirani. lika sema we binti uta fanya wanaume wakuone kifaru cha vita
Hahaha.....afisa bichwa SI Ika agiza wine ya 35k, makaange na chipsi na still haiku maliza.
Ina kula Huku ina ongea kwa sauti, rafiki kaji tahidi kumbonyeza, ila ni Kama alikuwa ana deki bahari!!
Ika taka kuagiza wine ya 2, rafiki yake aka mwambia zime tosha SI tuna Rudi job, paka shume Ika sema Ina beba kwa ajili ya baadae!!
Mara Eti nime sahau kuku uliza una fanya kazi wapi??, Wana kulipa. Shingapi??.
Mpaka Kuna li shangazi jirani. lika sema we binti uta fanya wanaume wakuone kifaru cha vita
yaani Ile ongea yake ni mbwa Koko anaye bweka, rafiki yake nili kutana nae Baada ya hapo.Nimecheka had machoziii, khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Spending Wala haiku nipa mawazo, shida ni kutumia muda wangu kwa popomaHahaha..
Mkuu, hapo ulizama cha kike bila kujua