uswe ni mkristo, tena aliyemkiri Yesu Kristo kuwa ni mwana wa Mungu aliyekufa kumkomboa mwanadamu! lakini naamini gari ya serikali kupeleka kwaya beach kurekodi video kuna tatizo mahali
Tumeziona nyingi tu kama hizo zinabeba majani ya ng'ombe, kufuata mkaa porini na kupeleka house girls sokoni, ninapoona nakumbuka makato ya kodi ktk salary yangu kila mwisho wa mwezi.
Serikali na Kwaya za injili ni damu damu! Hata kwenye mikutano ya CDM zinapigwa hizo kwaya za injili, mimi sioi tatizo!
Mimi ssidhani kama kuna kosa kuazima gari la selikali,kwani wanakwaya sio wananchi? matumizi mabaya ni kama kwenda kwenye ulevi umalaya nk,lakini kuwezesha wananchi kunadhambi gani hapo.
Itakuwa kuna kibosile mmoja amejitolea. Mwenye makosa sio mwanakwaya aliyepanda gari bali huyo big boss.
Wabongo naona kwa hili tutakaba mpaka penati. Kumbe ni kuanzia saa 10 hadi 12 mbona kama muda wa kazi ulisha kwisha? Mtawafanya maofisa wetu waogope kutumia magari haya hata kama ni stahili yao.
Lete picha. Lakini inategemea ni video kwa ajili ya matumizi ya Ofisi husika. There is a need for more investigation on this!!
Harufu ya udini!
Gari ya serikali, Defender yenye usajili STJ 974 iko cocobeach imeleta wanakwaya ku-shoot video, imewaleta imewasubiri wamefanya shooting na sasa ninapoandika hii wanapakia mizigo yao kwenye gari tayar kwa safari ya kuondoka.
Haya ni matumizi sahihi ya haya magari?
hizi picha nilipiga kwa simu, na sikusogea karibu sana bse nilijua itaniletea dhurumai, lakini mnaweza kuona
View attachment 59430View attachment 59431View attachment 59432

Ndege ya SERIKALI iko hapa Tanga RAIS amekuja KUFTURISHA, juzi alikuwa Mbeya na Kesho atakwenda Rukwa Kwa ajili ya kufturisha!