Penati ya Azam ilikuwa clear Penati na sio Dive,Penati ya Morison haikuwa halali ni uhuni,Morison kakanyaga mtu makusudi tumboni ilikuwa clear Red Card,mnataka mpaka utumbo wa mchezaji wa Azam utoke nje ndio muamini??Mpira uliozaa Goli la kwanza huo nimeweka picha,inahitaji miwani kweli??