Ugumu wa maisha na matukio katika maisha ni kipimo tosha cha akili,Mungu akimsaidia huyu atoke kwenye kesi inayomkabili huyu hatakuwa yule ambaye wengi walimjua.
Bado Tanzania tuna kazi kubwa sana hasa ya kushughulika na upelelezi wa mambo mbalimbali,kama inachukua muda mrefu kwa kesi kama hii upelelezi kukamilika,kwa wengine hali ipoje?